Jinsi ya kuweka au kuondoa nyota kwenye ujumbe

Android
iPhone
KaiOS
Wavuti na Kompyuta ya dawati
Windows
Kipengele cha jumbe zenye nyota kinakuruhusu kuziwekea ala jumbe maalum ili uweze kuzirejea haraka tena baadaye.
Weka nyota kwenye ujumbe
  1. Gusa na shikilia ujumbe unaotaka kuwekea nyota.
  2. Gusa Nyota.
Ondoa nyota kwenye ujumbe
  1. Gusa na shikilia ujumbe wenye nyota.
  2. Gusa Ondoa nyota.
Angalia orodha ya jumbe ulizoziwekea nyota
  1. Fungua soga binafsi au za kikundi zilizo na jumbe zenye nyota unazotaka kuona.
  2. Gusa jina la mtu binafsi au soga ya kikundi.
  3. Gusa Jumbe Zenye Nyota.
Kuangalia jumbe zote zenye nyota, nenda kwa Mipangilio ya WhatsApp > Jumbe Zenye Nyota.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La