Jinsi ya kubandika soga

Kipengele cha kubandika soga kina kuruhusu kubandika hadi soga maalumu tatu juu ya orodha yako ya soga ili uweze kuzipata haraka.
Bandika soga
Kwenye iPhone: Telezesha kulia kwenye soga unayotaka kubandika, kisha gusa Bandika.
Kwenye Android: Gusa na shikilia soga unayotaka kubandika, kisha gusa Bandika soga
.
Ondoa kibandiko kwenye soga
Kwenye iPhone: Telezesha kulia kwenye soga iliyobandikwa, kisha gusa Ondoa kibandiko.
Kwenye Android: Gusa na shikilia soga zilizo bandikwa, kisha gusa Ondoa kibandiko
.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La