Jinsi ya kutumia hali ya giza

Hali ya giza inakuruhusu kubadilisha rangi ya mandhari ya WhatsApp kutoka nyeupe hadi nyeusi.

Tumia hali ya giza
  1. Fungua WhatsApp, kisha gusa Hiari zaidi > Mipangilio > Soga > Mandhari.
  2. Chagua kutoka kwenye hiari zifuatazo:
    • Giza: Washa hali ya giza.
    • Nuru: Zima hali ya giza.
    • Mfumo msingi: Wezesha mandhari ya giza ya WhatsApp ili ifanane na mipangilio ya kifaa chako. Nenda kwa kifaa Mipangilio > Uonyesho > washa au zima Mandhari ya giza.
Je, hii ilikusaidia?
Ndiyo
La