Jinsi ya kuweka au kuondoa nyota kwenye ujumbe

Android
iPhone
KaiOS
Wavuti na Kompyuta ya dawati
Windows
Kipengele cha jumbe zenye nyota kinakuruhusu kuziwekea alama jumbe maalum ili uweze kuzirejea tena baadaye.
Kuweka nyota kwenye ujumbe
  1. Fungua WhatsApp.
  2. Kwenye soga ya kibinafsi au kikundi, chagua ujumbe unaotaka kuwekea nyota.
  3. Bonyeza Hiari > Nyota.
Kuondoa nyota kwenye ujumbe
  1. Fungua WhatsApp.
  2. Kwenye soga ya kibinafsi au kikundi, chagua ujumbe unaotaka kufuta.
  3. Bonyeza Hiari > Ondoa nyota.
Kumbuka: Kuondoa nyota hakutafuta ujumbe.
Kuangalia orodha ya jumbe ulizoziwekea nyota
  1. Fungua WhatsApp.
  2. Bonyeza Mipangilio > Jumbe zilizowekwa nyota.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La