Kuhusu kujibu maswali ya wateja

Kumbuka: Huenda kipengele hiki hakipatikani kwako
Ili kuuza bidhaa au huduma kutoka kwenye duka lako la Facebook katika WhatsApp, lazima biashara yako itii Masharti ya Huduma za Uuzaji ya Meta. Pata maelezo zaidi kuhusu masharti ya huduma na vigezo vingine vya mauzo kwenye makala haya.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na Kituo Kikuu cha Usaidizi.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La