Jinsi ya kucheza ujumbe wa sauti

Wavuti na Kompyuta ya dawati
Windows
Android
iPhone
KaiOS
Cheza ujumbe wa sauti
  1. Chagua ujumbe wa sauti unaotaka kusikiliza.
  2. Bonyeza CHEZA. Ujumbe wa sauti utachezwa kupitia kwenye spika za simu yako. Ikiwa kipaza sauti cha kichwani kinapounganishwa, jumbe za sauti zitachezwa kwa kupitia kipaza sauti cha kichwani.
Kwenye jumbe za sauti zilizopokelewa utaona:
  • Kinasa sauti cha kijani
    kwenye jumbe za sauti ambazo hujacheza.
  • Kinasa sauti cha bluu
    kwenye jumbe za sauti ambazo ulicheza.
Kumbuka: Video ifuatayo inawahusu tu watumiaji wa WhatsApp ambao wana JioPhone au JioPhone 2.

Rasilimali zinazohusiana:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La