Jinsi ya kufuta sasisho ya hali yako

Android
iPhone
KaiOS
Unaweza kufuta sasisho ya hali kwenye WhatsApp.
Kufuta sasisho ya hali
 1. Fungua WhatsApp > HALI.
 2. Gusa Hali yangu.
 3. Una hiari kadhaa:
  • Gusa Zaidi
   karibu na sasisho ya hali unayotaka kuifuta. Kisha, gusa Futa
   > FUTA.
  • Kama unataka kufuta hali ya sasisho kadhaa, gusa na shikilia sasisho ya hali unayotaka kuifuta, kisha gusa Futa
   > FUTA.
Rasilimali zinazohusika:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La