Jinsi ya kushirikisha msimbo wako wa WhatsApp QR

Android
iPhone
 1. Fungua WhatsApp > gusa Chaguo zaidi
  > Mipangilio.
 2. Gusa aikoni ya QR iliyo karibu na jina lako.
 3. Gusa Shiriki
  .
 4. Chagua anwani au programu ya kushiriki nayo. Kisha, gusa mshale wa kijani.
 5. Unaweza pia kuchagua:
  • Kukata au kuzungusha: Gusa
   ili ukate au uzungushe picha ya msimbo wa QR.
  • Weka manukuu: Weka ujumbe katika sehemu ya maandishi.
  • Nyuma: Gusa Nyuma
   ili kugeuza mabadiliko uliyoyafanya kwenye picha ya msimbo wako wa QR.
 6. Gusa Tuma
  .
Kumbuka: Shiriki tu msimbo wako wa QR wa WhatsApp na watu unaowaamini. Inawezekana kwa mtu fulani kusambaza msimbo wako wa QR ya WhatsApp kwa watu wengine, ambao wanaweza kukuongeza kama mwasiliani kwa kuchanganua msimbo wako.
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La