Kuhusu bidhaa za WhatsApp Business

Angalia maktaba yetu ya usaidizi wa maudhui ili upate majibu na utatue hitilafu.
WhatsApp imejitolea kutafuta njia mbalimbali za kuisaidia biashara yako kutagusana na wateja.
Iwapo wewe ni mfanyabiashara mdogo, unaweza kutumia programu ya WhatsApp Business kuwasiliana na wateja kutoka kwenye kifaa kimoja kupitia programu unayoweza kupakua bila malipo. Programu ya WhatsApp Business inakuwezesha kufikia mamia ya wateja, haitozwi na hukupa uwezo wa kuigeuza inavyokufaa na pia kuunganisha na zana nyinginezo.
Ikiwa wewe ni mfanyabiashara wa kati hadi mkubwa, Jukwaa la WhatsApp Business linakuwezesha kudhibiti mazungumzo mengi kwenye WhatsApp ili kuimarisha uzingatiaji wa ununuzi na kuzidisha uhusiano na wateja. Unaweza kufikia Jukwaa la WhatsApp Business moja kwa moja au kwa kushirikiana na Watoa Watoahuduma za Biashara ili wafanye uunganishaji kwa niaba yako.
Ukitaka kusimamisha biashara zisiwasiliane na wewe, unaweza kuzizuia. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuzuia na kuripoti anwani kwenye: Android | iPhone
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La